Riit ni jina la kisanii la Rita Claire Mike-Murphy Ni mwanamuziki na mtangazaji wa televisheni wa Inuit|Inuk kutoka Pangnirtung, Nunavut, Kanada. Anajulikana sana kama mtangazaji wa kipindi cha watoto cha Anaana's Tent kinachorushwa na Aboriginal Peoples Television Network|APTN.[1][2]
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Riit kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |