Riste Pandev (alizaliwa 25 Januari 1994) ni mwanariadha wa Masedonia Kaskazini. [1]
Alishiriki katika mashindano ya mita 100 katika Mashindano ya Dunia ya Riadha ya 2013.
Anashikilia rekodi ya Masedonia Kaskazini katika mbio za 100m na muda wa 10.61 kuwekwa Pravets, Bulgaria mnamo 15 Juni 2013. Mnamo 6 Julai 2014 alivunja rekodi ya Masedonia Kaskazini kwenye 200m na muda wa 21.65 aliwekwa La Chaux-de-Fonds, Uswisi.
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Riste Pandev kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |