Dk. Robert Davila (alizaliwa 19 Julai 1932) aliwahi kuwa rais wa tisa katika chuo kikuu cha Gallaudet[1][2], chuo kikuu pekee duniani ambacho programu na huduma zote zimeundwa mahususi kushughulikia wanafunzi viziwi na wasiosikia.
Robert Davila alizaliwa kusini mwa California kwa wazazi wa Mexico-Marekani ambao walifanya kazi katika mashamba na bustani. Akiwa na umri wa miaka kumi na moja, alipata ugonjwa wa uti wa mgongo akawa kiziwi.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert R. Davila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |