Roger Mooking ni mpishi, mwanamuziki na mtangazaji wa televisheni mwenye asili ya Kanada na Trinidad.
Mooking ni mtangazaji wa kipindi cha televisheni cha Man Fire Food toka mwaka 2012 hadi sasa.[1][2][3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Roger Mooking kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |