Rudolf Deng Majak

Rudolf Deng Majak (1 Novemba 19406 Machi 2017) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.

Majak alizaliwa Awac, Sudan, mwaka 1940. Mnamo mwaka 1970, alipata daraja ya upadre katika mji wa Rumbek. Mnamo mwaka 1992, aliteuliwa kuwa Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki la Wau, ambalo sasa liko nchini Sudan Kusini. Deng Majak alihudumu kama Askofu wa jimbo hilo kuanzia mwaka 1995 hadi kifo chake mwaka 2017.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.