Rylee Traicoff (amezaliwa Kanada, 9 Novemba 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza kama beki wa timu ya Simcoe County Rovers FC katika ligi ya kwanya ya Ontario.
Anaiwakilisha timu ya taifa ya wanawake ya Guyana kwenye ngazi ya kimataifa.[1][2][3][4]
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rylee Traicoff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |