Jessica Salomé di Iorio ni mwanasheria na mwamuzi wa mpira wa miguu wa nchini Argentina. [1] Alichaguliwa kama mwamuzi wa mchuano ya Copa Libertadores de Fútbol Femenino 2009 [2] na mashindano ya Olimpiki ya wanawake 2012 . [3]
Aliwahi kuwa mwamuzi katika Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake 2015. [4] [5] Pia ndiye mwanamke pekee ambaye amechezesha katika ligi ya Primera Division ya Argentina . [2]
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
{{cite news}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Salomé di Iorio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |