Samuel Edward Krune Mqhayi (1 Desemba 1875 - 29 Julai 1945) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika kwa lugha ya Kixhosa. Alifanya kazi kama mwalimu na mhakiki na kutolea maandishi mbalimbali pamoja na mashairi na riwaya.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Samuel Mqhayi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |