Sarah Nnodim | |
Amezaliwa | 25 Desemba 1995 Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | mchezaji wa mpira wa miguu |
Sarah Nnodim (alizaliwa 25 Desemba 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Nigeria ambae anacheza katika klabu ya Nasarawa Amazons nchini Nigeria pamoja na timu ya taifa ya Nigeria. Alishiriki Kombe la Dunia la FIFA chini ya umri wa miaka 20 mwaka 2014.[1][2]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sarah Nnodim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |