Save the Best for Last

"Save The Best for Last"
Wimbo wa Vanessa Williams
kutoka katika albamu ya The Comfort Zone
B-side"Freedom Dance" (U.S.), "2 Of A Kind" (Europe)
ImetolewaJanuary 14, 1992
Muundocassette single, 7" single, CD maxi-single
Imerekodiwa1989-1990
Aina
Urefu3:40
Mtunzi (wa)Phil Galdston, Wendy Waldman, Jon Lind
Mtayarishaji (wa)Keith Thomas
Wendo wa nyimbo za Vanessa Williams
"The Comfort Zone"
(1991)
"Save The Best For Last"
(1992)

"Save The Best For Last" ni kibao kikali cha mwaka wa 1992 kilichotungwa na Phil Galdston, Wendy Waldman na Jon Lind mnamo mwezi wa Machi 1989. Huhesabiwa kama wimbo wa alama ya Vanessa Williams. Mashairi yanajielezea yenyewe na maisha ya uokovu wa Williams, kama jinsi alivyojiweza katika shughuli za rekodi na kupata mafanikio hasa baada ya kufuatia kuanguka kwake katika shughuli za Ulimbwende wa Marekani. Wimbo ni ballad linalohusu binti mdogo kipenzi cha mtu asiye na mtu ambaye yu tayari na kuangalia matamanio ya bibiye ya kuwa pamoja huku miaka inakatika, kabla kuanzisha mahusiano na mwimbaji bila kutarajia.

"Save The Best For Last" haukutungwa kwa ajili ya Vanessa Williams. Kulikuwa na waimbaji wengine kadha wa kadha waliopewa hapo awali; lakini wote waliukataa. Wakati anarekodi albamu yake ya The Comfort Zone, dakika mwisho, wimbo ukabidi ubadilishwe. Vanessa kausikiliza wimbo wa "Save The Best For Last", kisha Vanessa akasema: "Siwezi kuamini hakuna anayeutaka wimbo huu. Inabidi niwe nao tu."

Matoleo rasmi

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Save The Best For Last" (Album Version) - 3:38

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

Single za Ulaya

  1. Save The Best For Last 3:39
  2. 2 Of A Kind 5:15
  3. Dreamin' 5:25

CD-Mseto za Marekani

  1. Save The Best For Last 3:39
  2. Freedom Dance (Get Free!) (LP Version) 4:13
  3. Freedom Dance (Get Free!) (Free Your Body Club Mix) 6:59
  4. Freedom Dance (Get Free!) (Vanessa's Sweat Mix) 5:21
  5. The Right Stuff (UK Mix) 6:18

UK Vinyl, 7"

  • A Save The Best For Last 3:39
  • B 2 Of A Kind 5:15

Netherlands 12", Promo

  • A Save The Best For Last 3:39
  • B1 2 Of A Kind 5:15
  • B2 Dreamin´ 5:25

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]