Kata ya Sengerema | |
Mahali pa Sengerema katika Tanzania |
|
Majiranukta: 2°38′57″S 32°38′35″E / 2.64917°S 32.64306°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Mwanza |
Wilaya | Sengerema |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 49,806 |
Sengerema ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Sengerema katika Mkoa wa Mwanza.
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa kata ya Sengerema ilihesabiwa kuwa 49,806 [1].
Eneo la mji wa Sengerema limegawiwa kwa kata nne za Ibisabageni, Mwabaluhi (Mwambului), Nyampulukano na Nyatukala.
Hii kata ndogo imesheheni miundombinu tofauti ikiwemo hospitali ijulikanayo kama Mision hospital, shule zilizobobea kwa ajili ya kutoa elimu, pia Telecentre Wilayani Sengerema kwenye makutano ya barabara za Kamanga na Busisi.
Kata za Wilaya ya Sengerema - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
---|---|---|
Bitoto | Busisi | Buyagu | Buzilasoga | Chifunfu | Ibisabageni | Ibondo | Igalula | Igulumuki | Kagunga | Kahumulo | Kasenyi | Kasungamile | Katunguru | Kishinda | Mission | Mwabaluhi | Ngoma | Nyamatongo | Nyamazugo | Nyamizeze | Nyampande | Nyampulukano | Nyatukara | Sima | Tabaruka |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sengerema kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |