Oluseun Anikulapo Kuti (akijulikana pia kama Seun Kuti, alizaliwa 11 Januari 1983) ni mwanamuziki wa Nigeria, mwimbaji na mtoto wa mwisho wa mwanzilishi wa Afrobeat Fela Kuti.[1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Seun Kuti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |