Sharmell Sullivan-Huffman (alizaliwa Novemba 2, 1970) ni mwigizaji, mwimbaji, mwanamitindo, na mwanamiereka wa Marekani.
Alikuja kujulikana kwa mara ya kwanza katika ulimwengu wa miereka kama Storm, mwanachama wa kikundi cha densi cha World Championship Wrestling.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sharmell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |