Shauit ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Kanada, ambaye anachanganya muziki wa asili wa Watu wa Kwanza wa Kanada, hasa katika lugha ya Innu-aimun, na muziki wa pop-rock na reggae.[1][2][3]
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shauit kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |