Siby Mathew Peedikayil

Siby Mathew Peedikayil (alizaliwa Desemba 6, 1970, huko Meloram) ni kasisi wa Uhindi na askofu wa Dayosisi ya Kikatoliki ya Aitape. Aliteuliwa kuwa askofu mwaka 2021.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.