Sikukuu za Kenya ni sikukuu karibu kumi na mbili zinazoadhimishwa kisheria nchini Kenya.
Tarehe | Jina la Sikukuu |
---|---|
1 Januari | Mwaka mpya |
Tarehe inabadilika | Ijumaa Kuu |
Tarehe inabadilika | Jumatatu ya Pasaka |
1 Mei | Sikukuu ya Wafanyakazi |
1 Juni | Sikukuu ya Madaraka[1] |
Tarehe inabadilika (inahitaji kuonekana kwa Mwezi) | Idd el Fitr |
Tarehe inabadilika (inahitaji kuonekana kwa Mwezi) | Idd el Adha |
10 Oktoba | Siku ya Moi[2] |
20 Oktoba | Sikukuu ya Mashujaa |
12 Desemba | Sikukuu ya Jamhuri[3] |
25 Desemba | Sikukuu ya Krismasi |
26 Desemba | Siku ya Utamaduni [4][5] |
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sikukuu za Kenya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |