Simone Campagnaro

Simone Campagnaro (matamshi ya Kiitalia: [kampaɲˈɲaːro]; alizaliwa Latina, mkoa wa Lazio, Italia ya kati, 31 Mei 1986) ni mwanabaiskeli wa barabara kutoka Italia anayewakilisha timu ya Nippo–Vini Fantini–Faizanè.[1][2]

  1. Simone Campagnaro's profile on Cicloweb – Kigezo:In lang
  2. Team Nippo's squad members – Kigezo:In lang
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simone Campagnaro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.