So Many Tears

“So Many Tears”
“So Many Tears” cover
Single ya 2Pac
kutoka katika albamu ya Me Against the World
Imetolewa 13 Juni 1995
Muundo 12", Cassette, CD
Imerekodiwa 1994
Soundcastle Studios
Los Angeles, California
Aina Hip hop
Urefu 3:59
Studio Interscope
Mtunzi T. Shakur, G. Jacobs, R. Walker, E. Baker, S. Wonder
Mtayarishaji Shock G
Mwenendo wa single za 2Pac
"Dear Mama"
(1995)
"So Many Tears"
(1995)
"Temptations"
(1995)

"So Many Tears" ni jina la kutaja single kutoka, na wimbo wa nne kutoka kwenye albamu ya tatu ya msanii wa muziki wa hip hop, Tupac Shakur - Me Against the World. Wimbo unajulikana sana ukiwa kama moja kati ya vibao vya huzuni na huruma sana vya Shakur, kwa jinsi alivyokuwa akirap kwa uchungu na mateso. Muziki wa video kwa ajili ya single ulitolewa, lakini Tupac hakuwemo ndani yake, kwa sababu kipindi hiki alikuwa akitumikia kifungo kwa makosa matatu ya unyanyasaji wa kijinsia. Upatano wa wimbo umechukua sampuli ya wimbo wa Stevie Wonder, "That Girl". Wimbo ulichukua nafasi ya #6 nchini Marekani kupitia chati za Rap, #21 nchini Marekani kupitia chati za Hip Hop/R&B na #44 kwenye chati za Billboard Hot 100.

"So Many Tears" iliingizwa kwenye albamu za "Vibao Vikali vya 2Pac mnamo 1998.

"So Many Tears" ilitumiwa kwenye makala ya TV ya Bastards of the Party, makala inahusu ushindani baina ya Bloods na Crips.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
Maxi-single
  1. "So Many Tears"
  2. "So Many Tears" (Key of Z Remix)
  3. "So Many Tears" (Reminizim' Remix)
  4. "Hard to Imagine" by Dramacydal
  5. "If I Die 2Nite"
Promo single
  1. "So Many Tears"
  2. "So Many Tears" (Key of Z Remix)
  3. "So Many Tears" (Reminizm' Remix)
  4. "If I Die 2Nite"