Sofya Berultseva (Kirusi: Софья Берульцева, alizaliwa 6 Novemba 2000) ni mshindi wa medali ya shaba kutokea Kazakhstan katika Olimpiki ya karateka, anawakilisha Kazakhstan kimataifa katika hafla za Kumite (Karate).[1]