Sophie Howard

Howard akichezea Hoffenheim mnamo 2016

Sophie Louise Howard (alizaliwa 17 Septemba 1993)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama beki wa klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi ya Wanawake ya FA (WSL)[2]. Howard ni mzaliwa wa Ujerumani lakini amekuwa miongoni mwa wachezaji wa timu ya taifa ya Scotland tangu 2017.[3]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2014-08-10. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. Reading FC (2020-06-08). "🙏 Reading FC Women issue thanks as out of contract players depart". Reading FC. Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
  3. "Under-strength Scotland fall to Belgium". www.scottishfa.co.uk. Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sophie Howard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.