Stefano Lippi

Stefano Lippi (alizaliwa 23 Januari, 1981) ni mwanariadha mlemavu wa Michezo ya Olimpiki nchini Italia ambae alishiriki mashindano ya mbio za riadha kitengo cha T42 na kuruka mbali.[1]

  1. Paralympic Profile
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stefano Lippi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.