Taariq Fielies

Taariq Fielies (alizaliwa 21 Juni 1992 huko Cape Town) ni mchezaji wa soka wa kulipwa wa Afrika Kusini kwa sasa anacheza kama mlinzi wa klabu ya Cape Town City ya Afrika Kusini katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini.[1]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taariq Fielies kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.