Tala | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Machakos |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 4,734 |
Tala ni mji wa Kenya ambao umeunganika na Kangundo katika halmashauri moja kubwa (ya tisa nchini).
Tala ni kata ya kaunti ya Machakos, Eneo bunge la Matungulu[1].
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tala, Kenya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |