Tanzania Rugby Union ni muungano ambao ni chombo kinachoongoza chama cha mchezo wa raga nchini Tanzania. Ni mwanachama wa Shirikisho la Raga la Afrika (CAR) na mwanachama mshiriki wa Bodi ya Kimataifa ya Raga.[1]