Mji Mdogo wa Tarime | |
Mahali pa Tarime katika Tanzania |
|
Majiranukta: 1°20′32″S 34°22′48″E / 1.34222°S 34.38000°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Mara |
Wilaya | Tarime |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 33,431 |
Tarime ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Tarime katika Mkoa wa Mara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa kata ya Tarime ilihesabiwa kuwa 29,339 [1].
Mwaka 2012 kata ya Tarime Mjini iligawiwa kuwa kata za Bomani, Sabasaba na Nyamisangura.
Kata za Wilaya ya Tarime Vijijini - Mkoa wa Mara - Tanzania |
||||
---|---|---|---|---|
Binagi * Bumera * Ganyange * Gorong'a * Gwitiryo * Itiryo * Kemambo * Kibasuka * Kiore * Komaswa * Kwihancha * Manga * Matongo * Mbogi * Muriba * Mwema * Nyakonga * Nyamwaga * Nyansincha * Nyanungu * Nyarero * Nyarokoba * Pemba * Regicheri * Sirari * Susuni
|