Tatsuro Yoshino

Tatsuro Yoshino (吉野 達郎, Yoshino Tatsurō,alizaliwa 11 Septemba 1982) ni mwanariadha mstaafu nchini Japani ambaye alishiriki katika mbio za kupokezana za mita 4 × 100 kwenye mashindano ya dunia ya mwaka 2005 akimaliza wa nane.[1]

  1. "4x100 Metres Relay men". World Athletics. Iliwekwa mnamo 19 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tatsuro Yoshino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.