Taubie Kushlick

Taubie Kushlick (19101991) alikua ni muigizaji wa kike na mtayarishaji wa filamu nchini Afrika Kusini. Alisifika na kujulikana sana kwa mitindo yake ya kipekee.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taubie Kushlick kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.