Teah Dennis Jr

Teah Dennis Junior (alizaliwa 5 julai 1992) ni mchezaji wa soka na nahodha wa timu ya taifa ya Liberia na klabu ya Al-Hussein kama beki wa kati.

Aliongoza klabu hiyo kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika, alikuwa anacheza nafasi ya beki.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teah Dennis Jr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.