Augustine Miles Kelechi (maarufu kwa jina la Tekno; alizaliwa 17 Desemba 1992) ni mwimbaji, mtayarishaji, mwigizaji na mchezaji wa Nigeria.
Kelechi anatokea Ivo, Jimbo la Ebonyi. Alizaliwa katika Jimbo la Bauchikatika katika familia ya wavulana 5 na msichana 1.
Alishawahi kutembelea maeneo kadhaa ya nchi ikiwa ni pamoja na Nassarawa, Kaduna na Abuja kutokana na ukweli kwamba baba yake alikuwa mwanachama wa Jeshi la Nigeria.
Alipokuwa na umri wa miaka 8, Tekno Miles alijiunga na shule ya muziki ambako alijifunza na kufahamu maandishi ya kuchezea piano na gitaa.
Mwaka | Jina la nyimbo | ||||
---|---|---|---|---|---|
2013 | "Holiday" | "Dance" | |||
2019 | Woman | Body ft Kizz Daniel | Uptempo
|