Teresa Clotilde del Riego

Teresa del Riego, mwaka 1908.

Teresa Clotilde del Riego, (7 Aprili 1876 - 23 Januari 1968) alikuwa mpiga kinanda, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo. Asili yake ni Mhispania..[1]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. Gailey, Meredith. "Teresa Clotilde Del Riego". Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teresa Clotilde del Riego kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.