Teresa Errandonea (alizaliwa Novemba 15, 1994) ni mwanariadha wa Hispania.[1]Alishindana kwenye mita 100 za kuruka vikwazo kwa wanawake katika olimpiki ya majira ya joto mwaka 2020.[2]
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Teresa Errandonea kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |