Teresa Mannino | |
---|---|
Amezaliwa | 23 Novemba 1970 |
Utaifa | Italia |
Kazi yake | Mchekeshaji |
Teresa Mannino (alizaliwa Palermo, 23 Novemba 1970) ni mchekeshaji, mwigizaji, na mtangazaji wa runinga nchini Italia.
Mannino alihitimu masomo ya falsafa, kisha alihamia Milano akajiunga na shule ya uigizaji ya Teatro Carcano Europe.[1] [2]
Baada ya mafunzo na mazoezi ya kutosha alikuwa mchekeshaji wa kwenye majukwaa na alianza kuonekana kwenye chaneli ya televisheni ya Kiitalia iitwayo Canale 5 katika maudhui tofautitofauti Zelig.[1][3]
Mannino anafanya vizuri kwenye majukwaa, filamu na vipindi mbalimbali vya kibiashara kwenye runinga. Mnamo mwaka 2012 alikuwa mwenyeji wa mahojiano ya one-woman-show kwenye chaneli ya Kiitalia ya La 7, Se stasera sono qui.[4]
Mwisho wa maudhui alielezea maudhui kama "show talk", si "talk show", akimaanisha kuwa mahojiano yatakuwa yakizungumzia mambo yahusuyo jamii na utamaduni kiundani kidogo. [5]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link){{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link){{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link){{cite news}}
: Check date values in: |date=
(help)Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Teresa Mannino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |