The Captain of Nakara ni filamu ya Kuchekesha ya nchini Kenya iliyofanyika mwaka 2012. Ni filamu iliyotoholewa katika muundo wa tamthilia ya Kijerumani iliyoitwa The Captain of Köpenick iliyo tayarishwa na Carl Zuckmayer, kipekee imezungumzia historia ya maisha ya Wilhelm Voigt mhalifu mdogo ambaye aliyechkua nafasi ya Hauptimann(Kapteni) huko Berlin mwaka 1960.[1][2][3]
![]() |
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu The Captain of Nakara (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |