The Hits | ||
---|---|---|
The Hits Cover | ||
Greatest hits ya Garth Brooks | ||
Imetolewa | 13 Desemba 1994 | |
Urefu | 1 hr. 1:30 min. |
The Hits ni albamu ya pili ya mkusanyiko na ya kwanza ya vibao vikuu zaidi (greatest hits) kutoka kwa msanii wa Muziki wa Country wa Marekani Garth Brooks. Ilitolewa mnamo 13 Desemba 1994 na Capitol Records lakini ikafutwa haraka kwa ombi la Brooks, lakini kufikia kufutwa ilikuwa imeshauza nakala zaidi ya milioni kumi. Ilifika nafasi ya kwanza katika chati ya ‘’Billboard Country music’’ na #1 katika chati ya Pop ya Billboard. Pia ilikuwa na ufanisi mkubwa katika nchi nyingine. Iliongoza katika chati za Pop za Ireland ambapo Brooks sasa lilikuwa jina maarufu sana. Pia iliongoza katika chati za country nchini Great Britain na ikafika #11 katika chati za pop nchini humo.
Year | Chart | Position |
---|---|---|
1995 | The Billboard 200 | 1 |
Alitanguliwa na Miracles: The Holiday Album ya Kenny G Balance ya Van Halen |
Billboard 200 albamu ya kwanza 7 Januari - 10 Februari 1995 18 Februari - 10 Machi 1995 |
Akafuatiwa na Balance ya Van Halen II by Boyz II Men |
Alitanguliwa na Not a Moment Too Soon ya Tim McGraw |
Top Country Albums albamu ya kwanza 31 Desemba 1994 - 15 Aprili 1995 |
Akafuatiwa na John Michael Montgomery ya John Michael Montgomery |
Alitanguliwa na John Michael Montgomery ya John Michael Montgomery |
Top Country Albums albamu #1 ya mwaka 15 Julai 1995 |
Akafuatiwa na The Woman in Me ya Shania Twain |
Alitanguliwa na Not a Moment Too Soon ya Tim McGraw |
Top Country Albums albamu #1 ya mwaka 1995 |
Akafuatiwa na The Woman in Me ya Shania Twain |