Thomas Rodney Berger ( 23 Marchi 1933 – 28 Aprili 2021).[1] Berger's last year as an MLA was 1969. Alikuwa mwanasiasa na mwanasheria wa Kanada. Alikuwa miongoni mwa waliokuwa Bunge la makabwela mwanzoni mwa miaka 1960 akiingia katika siasa za majimbo baada ya hapo. Aiongoza chama cha British Colombia New Democratic Party mnamo 1969. Baada ya kustaafu Berger aliendelea kutekeleza sheria na kuhudumu katika nyadhfa mbalimbali za umma. Alikuwa mwanachama wa Order of Canada na Order of British Columbia.[2]