Tiffany Devonna Cameron alizaliwa Oktoba 16, 1991 ni mchezaji mtaalamu wa mpira wa miguu anayecheza kama mshambuliaji na wakati mwingine kama kiungo katika klabu ya Kihispania ya Ligi F ya Real Betis Féminas. Alizaliwa Kanada na wazazi wa Jamaika, anachezea timu ya taifa ya wanawake Wa Jamaika. Aliwahi kuchezea timu ya wanawake wa Borussia Mönchengladbach katika ligi ya Bundes ya Ujerumani, F.C. Ramat HaSharon katika ligi kuu ya Israeli na TSG 1899 Hoffenheim katika Frauen-Bundesliga ya Ujerumani, pamoja na Seattle Reign FC na FC Kansas City katika ligi ya wanawake. Amechezea pia timu ya Apollon Ladies F.C. katika Ligi Kuu ya Kipre na alitumikia timu ya taifa ya Kanada katika ngazi ya chini ya umri wa miaka 17 na timu ya taifa ya wanawake.[1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tiffany Cameron kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |