Tokwato na wenzake Sesili, Ktesifoni, Eufrasi, Indaleti, Hesiki na Sekundi walikuwa maaskofu waliofanya umisionari sehemu mbalimbali za Hispania mwanzoni mwa Ukristo[1][2].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.
Sikukuu yao huadhimishwa kila tarehe 1 Mei[3].
{{cite web}}
: |author=
has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |