Tony Chursky (alizaliwa New Westminster, Kanada, Juni 13, 1953) ni kipa wa zamani wa timu ya taifa ya soka ya Kanada na ligi ya NASL (1968–1984).[1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tony Chursky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |