Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ni shirika la kisheria na udhibiti lililoanzishwa mwaka 2005 na Serikali ya Tanzania kwa lengo la kusimamia elimu ya vyuo vikuu nchini Tanzania. Ni shirika ambalo linafanya utambuzi na uidhinishaji wa elimu ya vyuo vikuu kabla ya chuo kikuu chochote kuanza.[1][2][3]


  1. Chris Maina Peter; Helen K. Bisimba (2007). Law and Justice in Tanzania: Quarter [sic] a Century of the Court of Appeal. African Books Collective. ku. 282–. ISBN 978-9987-449-43-9. Iliwekwa mnamo 8 Julai 2013.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Damtew Teferra; Jane Knight (2008). Higher Education in Africa: The International Dimension. African Books Collective. uk. 87. ISBN 978-9988-589-40-0. Iliwekwa mnamo 8 Julai 2013.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Mohamed Msoroka (1 Februari 2012). Financing Education in Tanzania: Policy Transformations, Achievements and Challenges. GRIN Verlag. ku. 14–. ISBN 978-3-656-11796-4. Iliwekwa mnamo 8 Julai 2013.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)