Tunde King

Tunde King (24 Agosti 1910 - 1980) alikuwa mwanamuziki wa Nigeria aliyetambuliwa kama mwanzilishi wa muziki wa Jùjú. King alikuwa na ushawishi mkubwa kwenye muziki maarufu wa Nigeria.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tunde King kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.