Uche Ogbodo(Alizaliwa 7 Mei 1986) ni mwigizaji na mzalishaji wa filamu kutoka nchini Nigeria <%ref>Sholola, Damilola. "My marriage was full of lies – Uche", Vanguard Newspaper, 27 September 2014. </ref>.
Alizaliwa katika jimbo la Enugu, safari yake ya kuelekea Nollywood ilianza kufuatia maamuzi ya baba yake baada ya kuandikishwa kwenye jumuiya ya waigizaji wa Nigeria katika Jimbo la Enugu[1].
Mara baada ya filamu yake ya kwanza ya mnamo mwaka 2006. Ogbodo alikuwa maarufu katika filamu mbalimbali.[2].
Year | Award ceremony | Prize | Result | Ref |
---|---|---|---|---|
2015 | 2015 Fashion Icon Awards | style="background: #99FF99; color: black; vertical-align: middle; text-align: center; " class="yes table-yes2"|Ameshinda | [3] |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uche Ogbodo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |