Ugonjwa wa Corona ulifika Kenya mwezi Machi 2020. Watu wa kwanza waligunduliwa kwenye kaunti za Nairobi na Kajiado.
Wizara wa Afya ya Kenya imeandika habari ya virusii ya Corona.
- Ugonjwa wa virusii ya corona ni mgonjwa mpya inaenezwa mbiombio
- Virusii ya corona inapatikana kutoka tone la mtu ana kikohozi, au kutoka vitu vimenajisi
- Dalili ya virusii ya corona ni homa, kikohozi, kuumwa kichwa, kuumwa mwili na kupumwa na shida
- Kuzuia ugonjwa wa virusii ya corona
- Safisha mikono na sabuni na maji, au na usafisho ina ugimbi
- Kaa mbali na mtu mwenye dalili ya mafua
- Usi peana mkono, usihike, na usinonea mtu ana dalili ya mafua
- Usitoke nyumbani na usisafiri ukiwa na dalili ya mafua
- Virusii ikidundua mapema, na mtu akipata matibabu mapema ana nafasi kubwa wa kupona
- Virusii mpya ya corona haiwezi kupatikana kutoka hewa
Ushauri huu inafanana ushauri wa Shirika za Afya Duniani (WHO)[2]. Kusoma tafsiri ya ushauri wa tabia nzuri wa Shirika za Afya Duniani kwa Kiswahili angalia ukurasa wa ushauri wa ugonjwa wa Corona ya Shirika la Afya Duniani.
|
Makala hii kuhusu "Ugonjwa wa corona Kenya 2020" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
|