Hans Ulrich "Uli" Aschenborn (alizaliwa 6 Septemba 1947 huko Johannesburg, Afrika Kusini ) ni mchoraji wanyama wa Kusini mwa Afrika . [1] Makumbusho ya Windhoek na Swakopmund ( Namibia ) yana miongoni mwa kazi za sanaa za Uli pamoja na Jumba la Sanaa la Kitaifa la Namibia . [2] [3]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uli Aschenborn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |