Utalii nchini Zambia Ni sekta ya utalii na sekta kubwa na inayokua nchini Zambia. Zambia ina zaidi ya simba 2500 pamoja na mbuga kadhaa za Kitaifa, maporomoko ya maji(waterfalls), maziwa, mito, na makaburi ya kihistoria . Zambia imehusika katika mikataba kadhaa ya utalii na mataifa jirani kama Uganda na Kenya . Wizara ya Utalii na Sanaa ya Uganda ilisema Zambia ni mfano wa kuigwa katika utalii barani Afrika. Wakala wa Utalii wa Zambia (ZTA) umeshirikiana na Serikali na sekta binafsi ili kuimarisha kipengele cha masoko katika sekta ya utalii . [1] [2] [3] [4] [5]
Orodha ya watalii waliowasili Zambia miaka ya karibuni:[6]
Nchi | 2015 | 2014 | 2013 |
---|---|---|---|
Zimbabwe | 225,527 | 208,962 | 191,048 |
Tanzania | 166,833 | 219,215 | 184,187 |
Democratic Republic of Congo | 96,201 | 89,796 | Hakuna taarifa |
South Africa | 94,030 | 98,216 | 87,048 |
United States | 38,496 | 32,625 | 31,826 |
United Kingdom | 36,997 | 31,280 | 32,309 |
Malawi | 31,539 | 29,579 | Hakuna taarifa |
India | 25,517 | 21,117 | 17,136 |
Namibia | 22,311 | 16,742 | Hakuna taarifa |
China | 20,648 | 30,831 | 27,603 |
Total | 931,782 | 946,969 | 914,576 |
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |