Utendi wa Sundiata (hujulikana pia kama Utendi wa Sunjata) ni utendi wa watu wa kabila la Malinke unaoeleza kisa cha shujaa Sundiata Keita (alifariki 1255), mwanzilishi wa Dola la Mali. Utendi huu ni ulianza toka karne ya 13 na ulikuwa ukiimbwa na washairi kizazi hadi kizazi.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |