Uwanja wa Lions

Uwanja wa Lions ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Brisbane nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Queensland Lions FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]

  1. "HISTORIC PARTNERSHIP BETWEEN BRISBANE CITY FC AND CORPORATE TRAVEL MANAGEMENT TO CONTINUE INTO 2019 | www.brisbanecityfc.com.au" (kwa Australian English). 2019-01-23. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-24. Iliwekwa mnamo 2020-03-24.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Lions kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.