Uwanja wa Michezo wa Arquitecto Antonio Eleuterio Ubilla ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa kwenye mji wa Melo nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Cerro Largo Fútbol na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 9,000.[1]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Arquitecto Antonio Eleuterio Ubilla kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |