Uwanja wa Michezo wa Belmore ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sydney Olympic na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 17,000.[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Belmore kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |