Uwanja wa Michezo wa Belvedere ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa mnamo mwaka 1909 kwenye mji wa Montevideo nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Liverpool Fútbol na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 8,500.[1]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Belvedere kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |