Uwanja wa Michezo wa Complejo Rentistas ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa mnamo mwaka 1998 kwenye mji wa Montevideo nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Atlético Rentistas na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,600.[1]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Complejo Rentistas kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |